NAPE AKABIDHIWA JEZI YA SIMBA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amepokea jezi kutoka Klabu ya Simba ikiwa leo hii atakuwa mgeni rasmi wa mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN.
Mchezo huo utapigwa kunako dimba la Mkapa majira ya saa 4:00 usiku

Comments
Post a Comment