Posts

Showing posts from April, 2022
Image
NAPE AKABIDHIWA JEZI YA SIMBA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amepokea jezi kutoka Klabu ya Simba ikiwa leo hii atakuwa mgeni rasmi wa mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USGN. Mchezo huo utapigwa kunako dimba la Mkapa majira ya saa 4:00 usiku